10/06/2023
Chuo cha Afya Karagwe instute of allied health sciences ni chuo bora na chenye walimu waliobobea katika kutoa kozi afya zifuatazo phamacetical science, medical laboratory, laboratory assistant, social work na kinatoa fursa adhim ya kujiunga na chuo hicho kwa wahitimu wa kidato cha 4 na 6. Mwombaji awe na alama D kwenye masomo ya Physics, Chemistry na Biology. Ada ni nafuu na zinalipwa kwa awamu 5. chuo kinapatikana Mkoani Tanga karagwe Kwa Mawasiliano 0784 480 413.