14/04/2022
ANGALIA UMRI WAKO, UPO SAHIHI? UMEKOSEA? UNAHITAJI KUJIREKEBISHA?!!!
20 - 25 = K**a ni kielimu hujafikia malengo yako, sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya kufanya, pigana kufa na kupona ili k**a vipi urudi shule kwa pesa yako.
25 - 30 = Hakikisha uwe na angalau KAZI RASMI k**a umeajiriwa au umejiajiri au una shughuli yeyote ya kukuingizia kipato.
30 - 35 = Uwe na angalau k**a sio nyumba basi kiwanja, tena ujitahidi uwe umeoa/umeolewa. Ni vema ukiwa na familia, kwa maana ya kuwa na watoto k**a Mungu kakuwezesha.
35 - 40 = Ni wakati kiwanja kiwe kimejengwa na k**a ni tayari basi nenda step nyingine ya kumiliki k**a ni Gari au kuongeza nyumba na hakikisha vinaenda sambamba na ongezeko la familia. Hapa inabidi upambane sana kuweka misingi.
40 - 45 = Ni umri wa masahihisho, k**a hukuwahi kununua kiwanja, k**a hukujenga basi hapa pambana afe kipa afe beki, ni umri wa masahihisho. Ila kwa wale ambao wameenda vizuri huko nyuma basi hapa watoto wapo kwenye level tofauti za elimu, kwahiyo ni muda wa kuwawekea malengo ya kimasomo watoto wao.
45 - 50 = Kwa yule ambae hakukosea huko nyuma basi umri huu ni wa kuanza kuwatengenezea mazingira watoto wako, k**a ni shughuli zako ni kuanza kuwahusisha, huku wewe ukijiweka pembeni taratibu na kuangalia fursa za umri wako. Lakini kwa wale waliokosea hapa ni kupitia zile hatua za 35 - 40.
50 - 60 = Ni kujiandaa na maisha mapya ya kustaafu au kujiweka mbali na kazi zinazotumia nguvu au akili nyingi
60 - 70 = Kula matunda yako huku ukiangalia misingi ya wanao inaendaje.
70 - 80 = Kula matunda
80 - nk = Umri wa kusubiria mauti
Yote kwa yote, maisha yetu yapo mikononi mwa MUNGU, kumbuka kufanya Ibada wakati wote...
kutazama 👇🏼 Mbaka mwisho
👉🏼 https://bit.ly/3ud8ARt 🎬