26/08/2026
Kutoka Katika Kitabu Cha Mafundisho ya Siri ya Biblia..
Mwanzo 28:10-15
Yakobo aliondoka Beer-sheba, akaelekea Harani. Alipofika mahali fulani, akalala hapo kwa sababu jua lilikuwa limetua.
Alichukua jiwe moja la mahali hapo, akaliweka chini ya kichwa chake, akalala.
Aliota ndoto, na katika ndoto hiyo, aliona ngazi iliyosimamishwa duniani na ncha yake inafika mbinguni.
Malaika wa Mungu walikuwa wakipanda na kushuka katika ngazi hiyo.
Mwenyezi-Mungu alisimama juu ya ngazi hiyo, akamwambia, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Abrahamu baba yako, na Mungu wa Isaka.
Nchi unayoilalia nitakupa wewe na wazawa wako. Wazawa wako watakuwa wengi k**a mavumbi ya dunia, na milki yao itaenea kila mahali: Magharibi, Mashariki, Kaskazini na Kusini. Kwako jamii zote duniani zitabarikiwa.
Mimi nipo pamoja nawe;
nitakulinda popote uendapo na kukurudisha katika nchi hii. Sitakuacha mpaka nitakapotimiza ahadi niliyokupa.”
UFAFANUZI
Yakobo anaashiria mafuta ,mfano: jiwe ambalo yakobo alilala juu yakeni mfupa wa sacrum, ambapo mafutahuanguka na kukaa kwa muda.
kisha akaona ngazi iliyofika mbinguni, ambayo ni uti wa mgongounaoongoza hadi kwenye ubongo (mbinguni).
uti wa mgongo ni ngazi ya kwenda kichwani mwako(mbinguni).
freemasons tunaashiria uti wa mgongo sawa na ngazi.