Shiatul Ali a.s

Shiatul Ali a.s Am the city of education and Ali is the gate

29/09/2025

*MAANA YA DUA*

Dua au maombi maana yake, ni mja kudhihirisha na kuyaweka wazi
mahitaji yake mbele ya hadhara tukufu ya Mwenyezi Mungu ambaye
si muhitaji kwa yeyote.
Dua ni pale mja anapojieleza kuwa yeye ni muhitaji, dhaifu tena
mnyonge. Yote haya akayaaridhi mbele ya hadhara ya Mwenyezi
Mungu ambaye ndiye mwenye mamlaka katika ulimwengu wote na
ndiye mkwasi asiyefilisika.
Dua ni kitendo cha mja kunyanyua mikono yake na kukunjua viganja
vyake vitupu visivyokuwa na kitu, kisha akavielekeza kwa Mwenyezi
Mungu ambaye ni Mkarimu.
Si hivyo tu, bali kwa kufanya hivyo akaonesha wazi namna
asivyokuwa na uwezo mbele ya Mwenyezi Mungu Muweza
Aliyetukuka.
Dua ni maombi ya mja masikini, dhalili na fukara anayetaka msaada
kwa Mwenyezi Mungu Muumba Mwenye huruma, Mpole Mwenye
kusikia na Mwenye kuona.
Dua ni kudhihirisha unyenyekevu na udhalili wa mja mbele ya
hadhara tukufu ya Mwenyezi Mungu ambaye ni Mfalme Mwenye
Utukufu, Mwenye nguvu na Mjuzi mno.
Dua ni lugha ya upendo inayotumika baina ya mja na Mola wake
Mwenye mapenzi kwa waja wake. Dua ni chemchem inayotiririka
kutoka kwa waja wa Mwenyezi Mungu wanaompenda. Dua
ni kiliwazo cha wachamungu, ni taa inayowaka kuwamulikia
wanaosafiri safari ya kiroho kumwendea Mola wao, na ni nguzo ya
masikini na wenye shida.Bali dua ni nuru inayo ng’ara ndani ya nyoyo za watu wanao tanga
tanga wakitafuta kuokolewa!
By _mustafa lokol_ *0785774494*

20/09/2025

Somali akisoma shairi ya bwana Mtume

20/09/2025

Nakuru maulidi

Asalaam aleykum
09/09/2025

Asalaam aleykum

Halal pet in Islam 💙💙🥰🥰
09/09/2025

Halal pet in Islam 💙💙🥰🥰

09/09/2025
01/09/2025

TYPES OF SCAMS IN KENYA😌

1. Send me your CV - Scam.

2. We'll get back to you - Scam.

3. I love you more than I love my wife - Scam.

4. Police is your friend - Scam.

5 The youths are the future leaders - Scam.

6. Airtel Data bundles - Scam.

7. Your vote counts - Scam.

8. Send me money to visit you - Scam.

9. I have a boyfriend but it's complicated - Double Scam.

10. This is not a scam - Scam.

11. Our school is the best - Scam.

12. Come over I want to show you
something - Scam.

13. Oh, he’s just a childhood friend - Scam.

14. He's like a brother to me - Outstanding Scam.

15. I'm with the boys - Scam

15. I promise I won't tell anyone - Scam.

16. I saw you in my dreams giving you a ring - Pure Scam.

18. A: Lets do a video call...
B: Sorry my network is bad, my battery is low, my room is dark - Chief Scam

19. This year I see you buying a car - Spiritual Scam

20. Baby, you are the most beautiful girl I have ever seen - 5G Scam.

21. Why didn’t I meet you before marrying my wife? -Scammest Scam of them all.

Bonus scam!!!

22. I have never loved someone like this before - Greatest Scam
23. We are just friends - SCAM

In fact, you're all SCAMMERS!

Somewhere in Nigeria 😂
31/08/2025

Somewhere in Nigeria 😂

31/08/2025

Man u iko juu ya man City maajabu 🤣🤣🤣🤣

Address

Lodwar
Nairobi West
LIMURU

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shiatul Ali a.s posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The University

Send a message to Shiatul Ali a.s:

Share