20/01/2013
madem wengine nao!!!!
Hutu tumischana
tunanishangazanga. .kamtu
katoke kwao na kanguo
kadoogo kamini na sika
tyt.
Then kakipepetwa na
upepo ukimwangalia ana
kuangalia vibaya nik**a
wewe ndo ume blow
upepo.
Mara mkiingia kwa
mat,kanashinda
kakivuta nguo,uki pay
atention kwa tumapaja
kanasema "grow up".
Ama una patana na
kengine,kako na kifua
iko na afya,saa kanavaa
top inaonyesha
Runyonyo 3/4. Tena m2
akiangalia sana ni
hatia. ..
Mimi siwezi wacha
macho hom,na k**a
ulikua umevaa
ufurahishe
wanyama,ungepit a
game park.,,,,